Isaya 53:10
Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Bwana 2 kumchubua na kumsababisha ateseke. 1 Ingawa Bwana amefanya maisha yake 2 kuwa sadaka ya hatia, 1 ataona uzao wake na kuishi siku nyingi, 2 nayo mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 7:15fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Psalms 21:4Alikuomba maisha, nawe ukampa, 2 wingi wa siku milele na milele. 1
Psalms 22:31Watatangaza haki yake kwa watu 2 ambao hawajazaliwa bado, 2 kwa maana yeye ametenda hili.
Psalms 69:26Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, 2 na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza. 1
Psalms 72:17Jina lake na lidumu milele, 2 na lidumu kama jua. 1 Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake, 2 nao watamwita aliyebarikiwa. 1
Psalms 89:29Nitaudumisha uzao wake milele, 2 kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu. 1