The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 57 › Isaiah 57:13

Isaiah 57:13

Utakapolia kwa kuhitaji msaada, 2 sanamu zako ulizojikusanyia na zikuokoe! 1 Upepo utazipeperusha zote, 2 pumzi peke yake itazipeperusha, 1 Lakini mtu atakayenifanya kimbilio lake, 2 atairithi nchi 2 na kuumiliki mlima wangu mtakatifu.” 1 Faraja Kwa Wenye Majuto

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When thou criest, let thy companies deliver thee; but the wind shall carry them all away; vanity shall take them: but he that putteth his trust in me shall possess the land, and shall inherit my holy mountain;

In Context

12Nitaifunua haki yako na matendo yako, 2 nayo hayatakufaidi. 1

14Tena itasemwa: 1 “Jengeni, jengeni, itengenezeni njia! 2 Ondoeni vikwazo katika njia ya watu wangu.” 1

Read all of Isaiah 57

Cross References

2 Kings 3:13Elisha akamwambia mfalme wa Israeli, “Nina nini mimi nawe? Nenda kwa manabii wa baba yako na manabii wa mama yako.” Mfalme wa Israeli akajibu, “La hasha, kwa sababu ni Bwana ambaye ametuita pamoja sisi wafalme watatu ili atutie mikononi mwa Moabu.”

Psalms 1:4Sivyo walivyo waovu! 2 Wao ni kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo. 1

Psalms 37:9Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, 2 bali wale wanaomtumaini Bwana watairithi nchi. 1

Psalms 37:22Wale wanaobarikiwa na Bwana watairithi nchi, 2 bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali. 1

Psalms 37:34Mngojee Bwana, 2 na uishike njia yake. 1 Naye atakutukuza uirithi nchi, 2 waovu watakapokatiliwa mbali, 2 utaliona hilo. 1

Psalms 84:12Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 heri ni mtu yule anayekutumaini wewe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 57:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 57:12Isaiah 57Isaiah 57:14 →