Isaya 57:14
Tena itasemwa: 1 “Jengeni, jengeni, itengenezeni njia! 2 Ondoeni vikwazo katika njia ya watu wangu.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 35:8Nako kutakuwa na njia kuu, 2 nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. 1 Wasio safi hawatapita juu yake; 2 itakuwa ya wale watembeao katika Njia ile; 1 yeye asafiriye juu yake, 2 ajapokuwa mjinga, hatapotea. 1
Isaiah 49:11Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, 2 na njia kuu zangu zitainuliwa. 1
Jeremiah 18:15Lakini watu wangu wamenisahau mimi, 2 wanafukizia uvumba sanamu zisizofaa kitu, 1 zilizowafanya wajikwae katika njia zao 2 na katika mapito ya zamani. 1 Zimewafanya wapite kwenye vichochoro 2 na kwenye barabara ambazo hazikujengwa. 1
Romans 14:13Kwa hiyo tusiendelee kuhukumiana: Badala yake mtu asiweke kamwe kikwazo au kizuizi katika njia ya ndugu mwingine.
1 Corinthians 8:9Lakini angalieni jinsi mnavyotumia uhuru wenu usije ukawa kikwazo kwao walio dhaifu.
1 Corinthians 10:32Msiwe kikwazo kwa mtu yeyote, wawe Wayahudi au Wayunani, au kwa kanisa la Mungu,