Isaiah 57:2
Wale waendao kwa unyofu 2 huwa na amani; 2 hupata pumziko walalapo mautini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He shall enter into peace: they shall rest in their beds, each one walking in his uprightness.
In Context
3“Lakini ninyi: 2 Njooni hapa, ninyi wana wa wachawi, 2 ninyi wazao wa wazinzi na makahaba! 1
Cross References
2 Chronicles 16:14Nao wakamzika katika kaburi lile alilokuwa amejichongea mwenyewe katika Mji wa Daudi. Wakamzika kwa jeneza lililowekwa vikolezi na mchanganyiko wa manukato ya aina mbalimbali yaliyotengenezwa kwa utaalamu wa mtengeneza marashi, nao wakawasha moto mkubwa kwa heshima yake.
Ecclesiastes 12:7nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka, 2 na roho kurudi kwa Mungu aliyeitoa. 1
Isaiah 26:7Mapito ya wenye haki yamenyooka. 2 Ewe uliye Mwenye Haki, 2 waisawazisha njia ya mtu mnyofu. 1
Ezekiel 32:25Kitanda kimetandikwa kwa ajili yake miongoni mwa waliouawa, pamoja na makundi yake yote ya wajeuri wakiwa wamelizunguka kaburi lake. Wote ni watu wasiotahiriwa, wameuawa kwa upanga. Kwa sababu vitisho vyao vilienea katika nchi ya walio hai, wameichukua aibu yao pamoja na wale washukao shimoni, nao wamewekwa miongoni mwa waliouawa.
Luke 1:6Zekaria na Elizabeti mkewe wote walikuwa watu wanyofu mbele za Mungu, wakizishika amri zote za Bwana na maagizo yote bila lawama.
Luke 7:50Yesu akamwambia yule mwanamke, “Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani.”