The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 12 › Mhubiri 12:7

Mhubiri 12:7

nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka, 2 na roho kurudi kwa Mungu aliyeitoa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then shall the dust return to the earth as it was: and the spirit shall return unto God who gave it.

In Context

6Mkumbuke Muumba wako: kabla haijakatika kamba ya fedha, 2 au bakuli la dhahabu halijavunjika; 1 kabla mtungi kuvunjika kwenye chemchemi, 2 au gurudumu kuvunjika kisimani, 1

8Mhubiri asema, “Ubatili! Ubatili! 2 Kila kitu ni ubatili!” 1 Hitimisho La Mambo

Read all of Mhubiri 12

Cross References

Genesis 3:19Kwa jasho la uso wako 2 utakula chakula chako 1 hadi utakaporudi ardhini, 2 kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, 1 kwa kuwa wewe u mavumbi 2 na mavumbini wewe utarudi.”

Numbers 16:22Lakini Mose na Aroni wakaanguka kufudifudi na kulia kwa sauti, wakasema, “Ee Mungu, Mungu wa roho za wanadamu wote, utakuwa na hasira na kusanyiko lote wakati ni mtu mmoja tu ametenda dhambi?”

Job 4:19ni mara ngapi zaidi wale waishio katika nyumba 2 za udongo wa mfinyanzi, 1 ambazo misingi yake ipo mavumbini, 2 ambao wamepondwa kama nondo! 1

Job 20:11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, 2 zitalala naye mavumbini. 1

Job 34:15wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja, 2 na mtu angerudi mavumbini. 1

Psalms 90:3Huwarudisha watu mavumbini, 2 ukisema, “Rudini mavumbini, enyi wanadamu.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 12:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 12:6Mhubiri 12Mhubiri 12:8 →