Isaiah 57:21
Mungu wangu asema, 2 “Hakuna amani kwa waovu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There is no peace, saith my God, to the wicked.
In Context
Cross References
Isaiah 3:11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! 2 Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 1
Isaiah 59:8Hawajui njia ya amani, 2 hakuna haki katika mapito yao. 1 Wameyageuza kuwa njia za upotovu, 2 hakuna apitaye njia hizo atakayeifahamu amani. 1