The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 59 › Isaya 59:8

Isaya 59:8

Hawajui njia ya amani, 2 hakuna haki katika mapito yao. 1 Wameyageuza kuwa njia za upotovu, 2 hakuna apitaye njia hizo atakayeifahamu amani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The way of peace they know not; and there is no judgment in their goings: they have made them crooked paths: whosoever goeth therein shall not know peace.

In Context

7Miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, 2 ni myepesi kumwaga damu isiyo na hatia. 1 Mawazo yao ni mawazo maovu; 2 uharibifu na maangamizi huonekana katika njia zao. 1

9Hivyo uadilifu uko mbali nasi, 2 nayo haki haitufikii. 1 Tunatazamia nuru, kumbe! Yote ni giza, 2 tunatazamia mwanga, lakini tunatembea katika giza kuu. 1

Read all of Isaya 59

Cross References

Psalms 58:1Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? 2 Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? 1

Proverbs 2:13wale waachao mapito yaliyonyooka 2 wakatembea katika njia za giza, 1

Proverbs 3:17Njia zake zinapendeza, 2 mapito yake yote ni amani. 1

Proverbs 28:18Yeye ambaye mwenendo wake hauna lawama 2 hulindwa salama, 1 bali yeye ambaye njia zake ni potovu 2 ataanguka ghafula. 1

Isaiah 48:22“Hakuna amani kwa waovu,” asema Bwana.

Isaiah 59:14Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma, 2 nayo haki inasimama mbali, 1 kweli imejikwaa njiani, 2 uaminifu hauwezi kuingia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 59:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 59:7Isaya 59Isaya 59:9 →