The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 58 › Isaya 58:11

Isaya 58:11

Bwana atakuongoza siku zote, 2 atayatosheleza mahitaji yako katika nchi kame, 2 naye ataitia nguvu mifupa yako. 1 Utakuwa kama bustani iliyonyweshwa vizuri, 2 kama chemchemi ambayo maji yake hayakauki kamwe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the LORD shall guide thee continually, and satisfy thy soul in drought, and make fat thy bones: and thou shalt be like a watered garden, and like a spring of water, whose waters fail not.

In Context

10nanyi kama mkimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi zenu 2 na kutosheleza mahitaji ya walioonewa, 1 ndipo nuru yenu itakapongʼaa gizani, 2 nao usiku wenu utakuwa kama adhuhuri. 1

12Watu wako watajenga tena magofu ya zamani 2 na kuinua misingi ya kale; 1 utaitwa Mwenye Kukarabati Kuta Zilizobomoka, 2 Mwenye Kurejeza Barabara za Makao. 1

Read all of Isaya 58

Cross References

Deuteronomy 15:4Hata hivyo, hapatakuwepo maskini miongoni mwenu, kwa kuwa katika nchi Bwana Mungu wenu anayowapa kuimiliki kama urithi wenu, atawabariki sana,

Job 6:15Lakini ndugu zangu sio wa kutegemewa, 2 ni kama vijito vya msimu, 2 ni kama vijito ambavyo hufurika 1

Psalms 25:9Huwaongoza wanyenyekevu katika haki, 2 naye huwafundisha njia yake. 1

Psalms 33:19ili awaokoe na mauti, 2 na kuwahifadhi wakati wa njaa. 1

Psalms 37:19Siku za maafa hawatanyauka, 2 siku za njaa watafurahia wingi wa vitu. 1

Psalms 73:24Unaniongoza kwa shauri lako, 2 hatimaye utaniingiza katika utukufu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 58:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 58:10Isaya 58Isaya 58:12 →