Isaya 58:10
nanyi kama mkimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi zenu 2 na kutosheleza mahitaji ya walioonewa, 1 ndipo nuru yenu itakapongʼaa gizani, 2 nao usiku wenu utakuwa kama adhuhuri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 15:4Hata hivyo, hapatakuwepo maskini miongoni mwenu, kwa kuwa katika nchi Bwana Mungu wenu anayowapa kuimiliki kama urithi wenu, atawabariki sana,
Job 11:17Maisha yako yatangʼaa kuliko adhuhuri, 2 nalo giza litakuwa kama alfajiri. 1
Psalms 37:6Yeye atafanya haki yako ingʼae kama mapambazuko, 2 na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri. 1
Psalms 112:4Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, 2 yule mwenye rehema, huruma na haki. 1
Proverbs 11:24Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, 2 mwingine huzuia, lakini huwa maskini. 1
Proverbs 14:31Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao, 2 bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 1