Isaya 58:6
“Je, hii si ndiyo aina ya mfungo niliyoichagua: 2 kufungua minyororo ya udhalimu, 2 na kufungua kamba za nira, 1 kuwaweka huru walioonewa, 2 na kuvunja kila nira? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 6:5au chochote alichokuwa amekiapia kwa uongo. Lazima akirudishe kikamilifu, na aongeze sehemu ya tano ya thamani yake, vyote ampe mwenye mali siku ile anapeleka sadaka yake ya hatia.
2 Chronicles 28:11Basi nisikilizeni! Mkawarudishe mateka mliowachukua kutoka kwa ndugu zenu, kwa kuwa hasira kali ya Bwana iko juu yenu.”
Nehemiah 5:11Warudishieni mara moja mashamba yao, mashamba yao ya mizabibu, mashamba yao ya mizeituni, na nyumba zao, pia riba yao mnayowatoza na sehemu ya fungu la mia la fedha, nafaka, divai mpya na mafuta.”
Jeremiah 34:8Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana, baada ya Mfalme Sedekia kufanya agano na watu wote huko Yerusalemu ili kutangaza uhuru kwa watumwa.
Micah 3:2ninyi mnaochukia mema 2 na kupenda maovu; 1 ninyi mnaowachuna watu wangu ngozi 2 na kuondoa nyama kwenye mifupa yao; 1
1 Timothy 6:1Wale wote walio chini ya kongwa la utumwa inawapasa kuwahesabu mabwana zao kuwa wanastahili heshima yote, ili jina la Mungu lisitukanwe wala mafundisho yetu.