The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 58 › Isaya 58:5

Isaya 58:5

Je, hii ndiyo aina ya mfungo niliouchagua, 2 siku moja tu ya mtu kujinyenyekeza? 1 Je, ni kwa kuinamisha kichwa chini kama tete, 2 na kwa kujilaza juu ya nguo ya gunia na majivu? 1 Je, huo ndio mnaouita mfungo, 2 siku iliyokubalika kwa Bwana? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is it such a fast that I have chosen? a day for a man to afflict his soul? is it to bow down his head as a bulrush, and to spread sackcloth and ashes under him? wilt thou call this a fast, and an acceptable day to the LORD?

In Context

4Kufunga kwenu huishia kwenye magomvi na mapigano, 2 na kupigana ninyi kwa ninyi kwa ngumi za uovu. 1 Hamwezi kufunga kama mnavyofanya leo 2 na kutazamia sauti zenu kusikiwa huko juu. 1

6“Je, hii si ndiyo aina ya mfungo niliyoichagua: 2 kufungua minyororo ya udhalimu, 2 na kufungua kamba za nira, 1 kuwaweka huru walioonewa, 2 na kuvunja kila nira? 1

Read all of Isaya 58

Cross References

1 Kings 21:27Ahabu aliposikia maneno haya, akararua nguo zake, akavaa nguo za gunia na kufunga. Akalala na kujifunika nguo za gunia na kwenda kwa unyenyekevu.

2 Chronicles 20:3Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafuta Bwana, na akatangaza kwa Yuda wote kufunga.

Nehemiah 9:1Katika siku ya ishirini na nne ya mwezi ule ule, Waisraeli walikusanyika pamoja, wakifunga na kuvaa nguo za gunia na kujitia mavumbi vichwani mwao.

Esther 4:16“Nenda, kusanya pamoja Wayahudi wote walioko Shushani, nanyi mfunge kwa ajili yangu. Msile wala kunywa kwa siku tatu, usiku na mchana. Mimi na wajakazi wangu tutafunga kama mnavyofanya. Baada ya kufanyika hili, nitakwenda kwa mfalme, hata ingawa ni kinyume cha sheria. Ikiwa ni kuangamia na niangamie.”

Psalms 69:13Lakini Ee Bwana, ninakuomba, 2 kwa wakati ukupendezao; 1 katika upendo wako mkuu, Ee Mungu, 2 unijibu kwa wokovu wako wa hakika. 1

Isaiah 58:3Wao husema, ‘Mbona tumefunga, nawe hujaona? 2 Mbona tumejinyenyekeza, nawe huangalii?’ 1 “Lakini katika siku ya kufunga kwenu, mnafanya mnavyotaka 2 na kuwadhulumu wafanyakazi wenu wote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 58:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 58:4Isaya 58Isaya 58:6 →