The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 60 › Isaya 60:20

Isaya 60:20

Jua lako halitazama tena, 2 nao mwezi wako hautafifia tena; 1 Bwana atakuwa nuru yako milele, 2 nazo siku zako za huzuni zitakoma. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thy sun shall no more go down; neither shall thy moon withdraw itself: for the LORD shall be thine everlasting light, and the days of thy mourning shall be ended.

In Context

19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1

21Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu, 2 nao wataimiliki nchi milele. 1 Wao ni chipukizi nililolipanda, 2 kazi ya mikono yangu, 2 ili kuonyesha utukufu wangu. 1

Read all of Isaya 60

Cross References

Psalms 27:1Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, 2 nimwogope nani? 1 Bwana ni ngome ya uzima wangu, 2 nimhofu nani? 1

Isaiah 25:8yeye atameza mauti milele. 1 Bwana Mwenyezi atafuta machozi katika nyuso zote; 2 ataondoa aibu ya watu wake duniani kote. 4 Bwana amesema hili. 1

Isaiah 30:26Mwezi utaangaza kama jua, nao mwanga wa jua utangʼaa mara saba zaidi, kama nuru ya siku saba, wakati Bwana atakapoyafunga majeraha ya watu wake na kuwaponya vidonda alivyowatia. 1

Isaiah 65:19Nami nitaifurahia Yerusalemu 2 na kuwafurahia watu wangu; 1 sauti ya maombolezo na ya kilio 2 haitasikika humo tena. 1

Zechariah 14:7Itakuwa siku ya kipekee, isiyo na mchana wala usiku, siku ijulikanayo na Bwana. Jioni inapofika nuru itakuwepo.

Revelation 7:15Kwa hiyo, 1 “Wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu 2 na kumtumikia usiku na mchana 2 katika hekalu lake; 1 naye aketiye katika kile kiti cha enzi 2 atatanda hema yake juu yao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 60:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 60:19Isaya 60Isaya 60:21 →