The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 60 › Isaya 60:19

Isaya 60:19

Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The sun shall be no more thy light by day; neither for brightness shall the moon give light unto thee: but the LORD shall be unto thee an everlasting light, and thy God thy glory.

In Context

18Jeuri hazitasikika tena katika nchi yako, 2 wala maangamizi au uharibifu ndani ya mipaka yako, 1 lakini utaita kuta zako Wokovu, 2 na malango yako Sifa. 1

20Jua lako halitazama tena, 2 nao mwezi wako hautafifia tena; 1 Bwana atakuwa nuru yako milele, 2 nazo siku zako za huzuni zitakoma. 1

Read all of Isaya 60

Cross References

Deuteronomy 10:21Yeye ni sifa yako; yeye ni Mungu wako, ambaye alikutendea yale maajabu makubwa na ya kutisha uliyoyaona kwa macho yako mwenyewe.

Psalms 4:2Enyi watu, mtabadilisha utukufu wangu 2 kuwa aibu mpaka lini? 1 Mtapenda udanganyifu 2 na kufuata miungu ya uongo mpaka lini? 1

Psalms 62:7Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu, 2 ndiye mwamba wangu wenye nguvu 2 na kimbilio langu. 1

Isaiah 24:23Mwezi utatiwa haya, nalo jua litaaibishwa; 2 kwa maana Bwana Mwenye Nguvu Zote atawala 1 juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, 2 tena mbele ya wazee wake kwa utukufu.

Zechariah 2:9hakika nitauinua mkono wangu dhidi yao ili watumwa wao wawateke nyara. Ndipo mtakapojua ya kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma.

Revelation 21:23Ule mji hauhitaji jua wala mwezi kuuangazia, kwa sababu utukufu wa Mungu ndio nuru yake na Mwana-Kondoo ndiye taa yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 60:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 60:18Isaya 60Isaya 60:20 →