Isaya 61:1
Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu, 2 kwa sababu Bwana amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwaganga waliovunjika moyo, 2 kuwatangazia mateka uhuru wao, 1 na hao waliofungwa 2 habari za kufunguliwa kwao; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 29:7Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake.
Psalms 2:6“Nimemtawaza Mfalme wangu 2 juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 1 Ushindi Wa Mfalme 1
Psalms 25:9Huwaongoza wanyenyekevu katika haki, 2 naye huwafundisha njia yake. 1
Psalms 45:7Unaipenda haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 1 amekuweka juu ya wenzako, 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha. 1
Psalms 68:7Ee Mungu, ulipowatangulia watu wako, 2 ulipopita nyikani, 1
Psalms 102:20kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa 2 na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.” 1