Isaiah 63:1
Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Kwa nini mavazi yako ni mekundu, 2 kama ya yule akanyagaye shinikizo la zabibu? 1
Cross References
Genesis 49:11Atamfunga punda wake katika mzabibu, 2 naye mwana-punda wake kwenye tawi lililo bora zaidi; 1 atafua mavazi yake katika divai, 2 majoho yake katika damu ya mizabibu. 1
1 Chronicles 1:44Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 2
Psalms 45:3Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu, 2 jivike fahari na utukufu. 1
Psalms 65:6uliyeumba milima kwa uwezo wako, 2 ukiwa umejivika nguvu, 1
Song of Solomon 3:6Ni nani huyu anayekuja kutoka jangwani 2 kama nguzo ya moshi, 1 anayenukia manemane na uvumba 2 iliyotengenezwa kwa vikolezo vyote 2 vya mfanyabiashara? 1
Song of Solomon 8:5Ni nani huyu anayekuja kutoka nyikani 2 akimwegemea mpenzi wake? Mpendwa 1 Nilikuamsha chini ya mtofaa, 2 huko mama yako alipotunga mimba yako, 2 huko yeye alipata utungu akakuzaa. 1