bible.software › Isaiah › Isaiah 63 › Isaiah 63:2
Isaiah 63:2
Kwa nini mavazi yako ni mekundu, 2 kama ya yule akanyagaye shinikizo la zabibu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore art thou red in thine apparel, and thy garments like him that treadeth in the winefat?
In Context
1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1
3“Nimekanyaga shinikizo la zabibu peke yangu; 2 kutoka mataifa hakuna mtu aliyekuwa pamoja nami. 1 Nimewaponda kwa miguu katika hasira yangu 2 na kuwakanyaga chini katika ghadhabu yangu; 1 damu yao ilitia matone kwenye mavazi yangu, 2 na kutia madoa nguo zangu zote. 1
Read all of Isaiah 63
Cross References
Revelation 19:15Kinywani mwake hutoka upanga mkali ambao kwa huo atayaangusha mataifa. “Atayatawala kwa fimbo yake ya utawala ya chuma.” Hulikanyaga shinikizo la mvinyo wa ghadhabu ya Mungu Mwenyezi.
This Verse In Other Editions
Study Isaiah 63:2