Isaiah 63:4
Kwa kuwa siku ya kisasi ilikuwa moyoni mwangu, 2 mwaka wa ukombozi wangu umefika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the day of vengeance is in mine heart, and the year of my redeemed is come.
In Context
Cross References
Isaiah 13:6Ombolezeni, kwa maana siku ya Bwana i karibu, 2 itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi. + 13:6 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1
Isaiah 34:8Kwa sababu Bwana anayo siku ya kulipiza kisasi, 2 mwaka wa malipo, 2 siku ya kushindania shauri la Sayuni. 1
Isaiah 61:2kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, 2 na siku ya kisasi ya Mungu wetu, 1 kuwafariji wote waombolezao, 2
Jeremiah 51:6“Kimbieni kutoka Babeli! 2 Okoeni maisha yenu! 2 Msiangamizwe kwa sababu ya dhambi zake. 1 Ni wakati wa kisasi cha Bwana, 2 atamlipa kile anachostahili. 1
Zechariah 3:8“ ‘Sikiliza, ee Yoshua kuhani mkuu, pamoja na wenzako walioketi mbele yako, ambao ni watu walio ishara ya mambo yatakayokuja: Ninakwenda kumleta mtumishi wangu, Tawi.
Revelation 6:9Mwana-kondoo alipoivunja ile lakiri ya tano, nikaona chini ya madhabahu, roho za wale waliochinjwa kwa ajili ya neno la Mungu na kwa ajili ya ushuhuda walioutunza.