The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 63 › Isaya 63:5

Isaya 63:5

Nilitazama, lakini hakuwepo yeyote wa kunisaidia, 2 nilishangaa kwa kuwa hakuwepo yeyote aliyetoa msaada; 1 hivyo mkono wangu wenyewe ndio ulionifanyia wokovu, 2 na ghadhabu yangu mwenyewe ndiyo iliyonitegemeza. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I looked, and there was none to help; and I wondered that there was none to uphold: therefore mine own arm brought salvation unto me; and my fury, it upheld me.

In Context

4Kwa kuwa siku ya kisasi ilikuwa moyoni mwangu, 2 mwaka wa ukombozi wangu umefika. 1

6Nilikanyaga mataifa kwa miguu katika hasira yangu, 2 katika ghadhabu yangu niliwalewesha, 2 na kumwaga damu yao juu ya ardhi.” 1 Kusifu Na Kuomba 1

Read all of Isaya 63

Cross References

Psalms 94:16Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? 2 Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu? 1

Psalms 107:12Aliwatumikisha kwa kazi ngumu; 2 walijikwaa na hapakuwepo yeyote wa kuwasaidia. 1

Isaiah 41:28Ninatazama, lakini hakuna yeyote: 2 hakuna yeyote miongoni mwao awezaye kutoa shauri, 2 hakuna yeyote wa kutoa jibu wakati ninapowauliza. 1

Isaiah 51:9Amka, Amka! Jivike nguvu, 2 ewe mkono wa Bwana, 1 Amka, kama siku zilizopita, 2 kama vile vizazi vya zamani. 1 Si ni wewe uliyemkata Rahabu vipande vipande, 2 uliyemchoma yule joka? 1

Isaiah 59:16Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja, 2 akashangaa kwamba hakuwepo hata mmoja wa kuingilia kati; 1 hivyo mkono wake mwenyewe 2 ndio uliomfanyia wokovu, 1 nayo haki yake mwenyewe 2 ndiyo iliyomtegemeza. 1

Hosea 1:7Hata hivyo nitaonyesha upendo kwa nyumba ya Yuda, nami nitawaokoa si kwa upinde, upanga au vita, wala kwa farasi na wapanda farasi, bali kwa njia ya Bwana Mungu wao.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 63:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 63:4Isaya 63Isaya 63:6 →