Isaiah 64:2
Kama vile moto uteketezavyo vijiti 2 na kusababisha maji kuchemka, 1 shuka ukafanye jina lako lijulikane kwa adui zako, 2 na kusababisha mataifa yatetemeke mbele zako! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Laiti ungelipasua mbingu na kushuka chini, 2 ili milima ingelitetemeka mbele zako! 1
Cross References
Exodus 14:4Nami nitaufanya moyo wa Farao mgumu, naye atawafuatilia. Lakini nitajipatia utukufu kwa ajili yangu mwenyewe kupitia Farao na jeshi lake lote, nao Wamisri watajua kuwa mimi ndimi Bwana.” Kwa hiyo Waisraeli wakafanya hivyo.
Deuteronomy 2:25Siku hii ya leo nitaanza kuwatia hofu na woga mataifa yote chini ya mbingu wawaogope ninyi. Watakaposikia taarifa zenu, watatetemeka na kufadhaika kwa sababu yenu.” 1 Kushindwa Kwa Sihoni Mfalme Wa Heshboni (Hesabu 21:21-30)
1 Kings 8:41“Kwa habari ya mgeni ambaye si miongoni mwa watu wako Israeli, lakini amekuja kutoka nchi ya mbali kwa sababu ya jina lako,
Psalms 46:10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; 2 nitatukuzwa katikati ya mataifa, 2 nitatukuzwa katika dunia.” 1
Psalms 67:1Mungu aturehemu na kutubariki, 2 na kutuangazia nuru za uso wake, 1
Psalms 83:13Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, 2 kama makapi yapeperushwayo na upepo. 1