Zaburi 83:13
Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, 2 kama makapi yapeperushwayo na upepo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
O my God, make them like a wheel; as the stubble before the wind.
In Context
12ambao walisema, “Na tumiliki nchi 2 ya malisho ya Mungu.” 1
14Kama vile moto uteketezavyo msitu 2 au mwali wa moto unavyounguza milima, 1
Cross References
Job 13:25Je, utaliadhibu jani lipeperushwalo na upepo? 2 Je, utayasaka makapi makavu? 1
Psalms 22:1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? 2 Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? 2 Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 1
Psalms 44:4Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, 2 unayeamuru ushindi kwa Yakobo. 1
Psalms 74:11Kwa nini unazuia mkono wako, 2 mkono wako wa kuume? 1 Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako 2 na uwaangamize! 1
Isaiah 40:24Mara baada ya kupandwa, 2 mara baada ya kutiwa ardhini, 2 mara baada ya kutoa mizizi yao ardhini, 1 ndipo huwapulizia nao wakanyauka, 2 nao upepo wa kisulisuli 2 huwapeperusha kama makapi. 1
Jeremiah 13:24“Nitawatawanya kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo wa jangwani. 1