The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 65 › Isaya 65:20

Isaya 65:20

“Kamwe hatakuwepo tena ndani yake 2 mtoto mchanga atakayeishi siku chache tu, 2 au mzee ambaye hataishi akatimiza miaka yake. 1 Yeye atakayekufa akiwa na umri wa miaka mia moja 2 atahesabiwa kwamba ni kijana tu, 1 yeye ambaye hatafika miaka mia moja, 2 atahesabiwa kuwa amelaaniwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There shall be no more thence an infant of days, nor an old man that hath not filled his days: for the child shall die an hundred years old; but the sinner being an hundred years old shall be accursed.

In Context

19Nami nitaifurahia Yerusalemu 2 na kuwafurahia watu wangu; 1 sauti ya maombolezo na ya kilio 2 haitasikika humo tena. 1

21Watajenga nyumba na kuishi ndani yake; 2 watapanda mashamba ya mizabibu na kula matunda yake. 1

Read all of Isaya 65

Cross References

Job 5:26Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, 2 kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake. 1

Ecclesiastes 8:12Ingawa mtu mwovu hufanya maovu mia moja na akaendelea kuishi maisha marefu, najua kwamba itakuwa bora zaidi kwa watu wanaomwogopa Mungu, wamchao Mungu.

Isaiah 3:11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! 2 Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 1

Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 65:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 65:19Isaya 65Isaya 65:21 →