Ayubu 5:26
Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, 2 kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt come to thy grave in a full age, like as a shock of corn cometh in in his season.
In Context
25Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi, 2 nao wazao wako wengi kama majani ya nchi. 1
27“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. 2 Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”
Cross References
Genesis 15:15Wewe, hata hivyo utakwenda kwa baba zako kwa amani na kuzikwa katika uzee mwema.
Exodus 23:26na hakuna atakayeharibu mimba wala atakayekuwa tasa katika nchi yako. Nami nitakupa maisha makamilifu.
Job 42:16Baada ya hili Ayubu akaishi miaka 140; akawaona wanawe na wana wa wanawe hata kizazi cha nne.
Psalms 91:16Kwa siku nyingi nitamshibisha 2 na kumwonyesha wokovu wangu.”
Proverbs 10:27Kumcha Bwana huongeza urefu wa maisha, 2 lakini miaka ya mwovu inafupishwa. 1