The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 65 › Isaiah 65:7

Isaiah 65:7

dhambi zenu na dhambi za baba zenu,” 2 asema Bwana. 1 “Kwa sababu walitoa dhabihu za kuteketezwa juu ya milima 2 na kunichokoza mimi juu ya vilima, 1 nitawapimia mapajani mwao 2 malipo makamilifu kwa matendo yao ya zamani.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Your iniquities, and the iniquities of your fathers together, saith the LORD, which have burned incense upon the mountains, and blasphemed me upon the hills: therefore will I measure their former work into their bosom.

In Context

6“Tazama, jambo hili hubakia limeandikwa mbele zangu: 2 sitanyamaza, bali nitalipiza kwa ukamilifu; 2 nitalipiza mapajani mwao: 1

8Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kama vile divai mpya ingali bado inapatikana 2 katika kishada cha zabibu, 1 nao watu husema, ‘Usikiharibu, 2 kwa kuwa bado kuna kitu kizuri ndani yake,’ 1 hivyo ndivyo nitakavyofanya kwa ajili ya watumishi wangu; 2 sitawaangamiza wote. 1

Read all of Isaiah 65

Cross References

Exodus 20:5Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

Numbers 32:14“Nanyi mko hapa, uzao wa wenye dhambi, mkisimamia mahali pa baba zenu na mkimfanya Bwana kuwakasirikia Waisraeli hata zaidi.

1 Kings 22:44Yehoshafati pia alikuwa na amani na mfalme wa Israeli.

2 Kings 14:4Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa. Watu waliendelea kutoa kafara na kufukiza uvumba huko.

2 Kings 16:4Akatoa kafara na kufukiza uvumba katika mahali pa juu pa kuabudia miungu, juu ya vilima, na chini ya kila mti uliotanda.

Psalms 106:6Tumetenda dhambi, kama vile baba zetu walivyotenda, 2 tumekosa na tumetenda uovu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 65:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 65:6Isaiah 65Isaiah 65:8 →