The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 65 › Isaya 65:6

Isaya 65:6

“Tazama, jambo hili hubakia limeandikwa mbele zangu: 2 sitanyamaza, bali nitalipiza kwa ukamilifu; 2 nitalipiza mapajani mwao: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, it is written before me: I will not keep silence, but will recompense, even recompense into their bosom,

In Context

5wasemao, ‘Kaa mbali; usinikaribie, 2 kwa maana mimi ni mtakatifu mno kwako!’ 1 Watu wa aina hiyo ni moshi katika pua zangu, 2 ni moto uwakao mchana kutwa. 1

7dhambi zenu na dhambi za baba zenu,” 2 asema Bwana. 1 “Kwa sababu walitoa dhabihu za kuteketezwa juu ya milima 2 na kunichokoza mimi juu ya vilima, 1 nitawapimia mapajani mwao 2 malipo makamilifu kwa matendo yao ya zamani.”

Read all of Isaya 65

Cross References

Exodus 17:14Kisha Bwana akamwambia Mose, “Andika mambo haya katika kitabu ili yakumbukwe, na uhakikishe kwamba Yoshua amesikia, kwa sababu nitafuta kabisa kumbukumbu la Amaleki chini ya mbingu.”

Psalms 50:3Mungu wetu anakuja na hatakaa kimya, 2 moto uteketezao unamtangulia, 2 akiwa amezungukwa na tufani kali. 1

Psalms 56:8Andika maombolezo yangu, 2 orodhesha machozi yangu katika gombo lako: 2 je, haya hayapo katika kumbukumbu zako? 1

Isaiah 42:14“Kwa muda mrefu nimenyamaza kimya, 2 nimekaa kimya na kujizuia. 1 Lakini sasa, kama mwanamke wakati wa kujifungua, 2 ninapiga kelele, ninatweta na kushusha pumzi. 1

Jeremiah 16:18Nitawalipiza maradufu kwa ajili ya uovu wao na dhambi yao, kwa sababu wameinajisi nchi yangu kwa maumbo yasiyo na uhai ya vinyago vyao vibaya, na kuujaza urithi wangu na sanamu za kuchukiza.” 1

Ezekiel 22:31Hivyo nitaimwaga ghadhabu yangu juu yao na kuwateketeza kwa moto wa hasira yangu, nikiyaleta juu ya vichwa vyao yale yote waliyotenda, asema Bwana Mwenyezi.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 65:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 65:5Isaya 65Isaya 65:7 →