The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 66 › Isaya 66:1

Isaya 66:1

Hili ndilo asemalo Bwana, 1 “Mbingu ni kiti changu cha enzi, 2 nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. 1 Iko wapi nyumba mtakayoijenga kwa ajili yangu? 2 Mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD, The heaven is my throne, and the earth is my footstool: where is the house that ye build unto me? and where is the place of my rest?

In Context

2Je, mkono wangu haukufanya vitu hivi vyote, 2 hivyo vikapata kuwepo?” 4 asema Bwana. 1 “Mtu huyu ndiye ninayemthamini: 2 yeye ambaye ni mnyenyekevu 1 na mwenye roho yenye toba, 2 atetemekaye asikiapo neno langu. 1

Read all of Isaya 66

Cross References

2 Samuel 7:5“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Je, ewe ndiwe wa kunijengea mimi nyumba ili nikae ndani yake?

1 Kings 8:27“Lakini kweli, je, Mungu atafanya makao duniani? Mbingu, hata mbingu zilizo juu sana, haziwezi kukutosha wewe. Sembuse Hekalu hili nililojenga!

2 Chronicles 2:5“Hekalu nitakalolijenga litakuwa kubwa, kwa sababu Mungu wetu ni mkuu kuliko miungu mingine yote.

Psalms 11:4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; 2 Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. 1 Huwaangalia wana wa watu, 2 macho yake yanawajaribu. 1

Psalms 132:7“Twendeni kwenye makao yake, 2 na tuabudu kwenye kiti cha kuwekea miguu yake; 1

Jeremiah 7:4Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 66:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Isaya 66Isaya 66:2 →