The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 66 › Isaiah 66:2

Isaiah 66:2

Je, mkono wangu haukufanya vitu hivi vyote, 2 hivyo vikapata kuwepo?” 4 asema Bwana. 1 “Mtu huyu ndiye ninayemthamini: 2 yeye ambaye ni mnyenyekevu 1 na mwenye roho yenye toba, 2 atetemekaye asikiapo neno langu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For all those things hath mine hand made, and all those things have been, saith the LORD: but to this man will I look, even to him that is poor and of a contrite spirit, and trembleth at my word.

In Context

1Hili ndilo asemalo Bwana, 1 “Mbingu ni kiti changu cha enzi, 2 nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. 1 Iko wapi nyumba mtakayoijenga kwa ajili yangu? 2 Mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi? 1

3Lakini yeyote atoaye dhabihu ya fahali 2 ni kama yeye auaye mtu, 1 na yeyote atoaye sadaka ya mwana-kondoo, 2 ni kama yule avunjaye shingo ya mbwa. 1 Yeyote atoaye sadaka ya nafaka, 2 ni kama yule aletaye damu ya nguruwe, 1 na yeyote afukizaye uvumba wa kumbukumbu, 2 ni kama yule aabuduye sanamu. 1 Wamejichagulia njia zao wenyewe, 2 nazo nafsi zao zinafurahia machukizo yao. 1

Read all of Isaiah 66

Cross References

Genesis 1:1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.

2 Kings 22:10Ndipo Shafani mwandishi akampasha mfalme habari kwamba: “Hilkia kuhani amenipa kitabu hiki.” Naye Shafani akakisoma kile kitabu mbele ya mfalme.

2 Kings 22:19Kwa kuwa moyo wako ulikuwa msikivu na ulijinyenyekeza mbele za Bwana uliposikia kile nilichosema dhidi ya mahali hapa na watu wake, kwamba wangelaaniwa na kuachwa ukiwa, basi kwa sababu uliyararua mavazi yako na kulia mbele zangu, nimekusikia, asema Bwana.

Ezra 9:4Kisha kila mmoja aliyetetemeshwa na maneno ya Mungu wa Israeli alikusanyika kunizunguka kwa sababu ya upotovu huu wa hao watu waliorudi kutoka utumwani. Nami niliketi pale nikishangaa mpaka wakati wa dhabihu ya jioni.

Psalms 34:18Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, 2 na huwaokoa waliopondeka roho. 1

Psalms 51:19Hapo ndipo kutakapokuwa na dhabihu za haki, 2 sadaka nzima za kuteketezwa za kukupendeza sana, 1 pia mafahali watatolewa 2 madhabahuni mwako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 66:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 66:1Isaiah 66Isaiah 66:3 →