The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 66 › Isaiah 66:21

Isaiah 66:21

Nami nitachagua baadhi yao pia wawe makuhani na Walawi,” asema Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will also take of them for priests and for Levites, saith the LORD.

In Context

20Nao watawaleta ndugu zenu wote, kutoka mataifa yote, mpaka kwenye mlima wangu mtakatifu katika Yerusalemu kama sadaka kwa Bwana, juu ya farasi, katika magari ya vita na magari makubwa, juu ya nyumbu na ngamia,” asema Bwana. “Watawaleta, kama Waisraeli waletavyo sadaka zao za nafaka, katika Hekalu la Bwana, katika vyombo safi kwa kufuata desturi za ibada.

22“Kama vile mbingu mpya na nchi mpya ninazozifanya zitakavyodumu mbele zangu,” asema Bwana, “ndivyo jina lenu na wazao wenu watakavyodumu.

Read all of Isaiah 66

Cross References

Isaiah 61:6Nanyi mtaitwa makuhani wa Bwana, 2 mtaitwa watumishi wa Mungu wetu. 1 Mtakula utajiri wa mataifa, 2 nanyi katika utajiri wao mtajisifu. 1

Hebrews 7:12Kwa kuwa yanapotokea mabadiliko ya ukuhani, pia lazima yawepo mabadiliko ya sheria.

1 Peter 2:9Lakini ninyi ni taifa teule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu walio milki ya Mungu, mlioitwa ili kutangaza sifa zake yeye aliyewaita kutoka gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu.

Revelation 5:10Wewe umewafanya hawa wawe ufalme na makuhani 2 wa kumtumikia Mungu wetu, 2 nao watatawala duniani.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 66:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 66:20Isaiah 66Isaiah 66:22 →