Isaiah 61:6
Nanyi mtaitwa makuhani wa Bwana, 2 mtaitwa watumishi wa Mungu wetu. 1 Mtakula utajiri wa mataifa, 2 nanyi katika utajiri wao mtajisifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 19:6ninyi mtakuwa kwangu ufalme wa makuhani na taifa takatifu.’ Haya ndiyo maneno utakayosema kwa wana wa Israeli.”
Isaiah 23:18Lakini faida na mapato yake yatawekwa wakfu kwa Bwana; hayatahifadhiwa wala kufichwa. Faida zake zitakwenda kwa wale wakaao mbele za Bwana kwa ajili ya chakula tele na mavazi mazuri.
Isaiah 60:5Ndipo utatazama na kutiwa nuru, 2 moyo wako utasisimka na kujaa furaha, 1 mali zilizo baharini zitaletwa kwako, 2 utajiri wa mataifa utakujilia. 1
Isaiah 60:16Utanyonya maziwa ya mataifa, 2 na kunyonyeshwa matiti ya wafalme. 1 Ndipo utakapojua kwamba Mimi, Bwana, ni Mwokozi wako, 2 Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo. 1
Isaiah 66:21Nami nitachagua baadhi yao pia wawe makuhani na Walawi,” asema Bwana.
Ezekiel 14:11“ ‘Ndipo watu wa Israeli hawataniacha tena, wala kujitia unajisi tena kwa dhambi zao zote. Ndipo watakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wao, asema Bwana Mwenyezi.’ ” 1 Hukumu Isiyoepukika