bible.software › Isaiah › Isaiah 7 › Isaiah 7:22
Isaiah 7:22
Kwa ajili ya wingi wa maziwa watakayotoa, atapata jibini ya kula. Wote watakaobakia katika nchi watakula jibini na asali.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it shall come to pass, for the abundance of milk that they shall give he shall eat butter: for butter and honey shall every one eat that is left in the land.
In Context
21Katika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili.
23Katika siku ile, kila mahali palipokuwa na mizabibu elfu moja yenye thamani ya shekeli 1,000 + 7:23 Shekeli 1,000 ni kama kilo 11.5. za fedha, patakuwa na michongoma na miiba tu.
Read all of Isaiah 7
Cross References
Isaiah 7:15Atakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema.
This Verse In Other Editions
Study Isaiah 7:22