Isaiah 7:21
Katika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it shall come to pass in that day, that a man shall nourish a young cow, and two sheep;
In Context
Cross References
Isaiah 5:17Kondoo watajilisha kwenye malisho yao wenyewe, 2 wana-kondoo watajilisha katika magofu ya matajiri. 1
Isaiah 17:2Miji ya Aroeri itaachwa 2 na itaachiwa mifugo ambayo italala huko, 2 bila yeyote wa kuyaogopesha. 1
Jeremiah 39:10Lakini Nebuzaradani kiongozi wa walinzi aliwabakiza baadhi ya watu maskini katika nchi ya Yuda, ambao hawakuwa na kitu. Naye wakati huo akawapa mashamba ya mizabibu na mashamba mengine.