The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 8 › Isaiah 8:13

Isaiah 8:13

Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye peke yake 2 ikupasaye kumheshimu kuwa mtakatifu, 1 ndiye peke yake utakayemwogopa, 2 ndiye peke yake utakayemhofu, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Sanctify the LORD of hosts himself; and let him be your fear, and let him be your dread.

In Context

12“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, 2 usiogope kile wanachokiogopa, 2 wala usikihofu. 1

14naye atakuwa mahali patakatifu; 2 lakini kwa nyumba zote mbili za Israeli atakuwa 1 jiwe lile linalosababisha watu kujikwaa 2 na mwamba wa kuwaangusha. 1 Kwa watu wa Yerusalemu, 2 atakuwa mtego na tanzi. 1

Read all of Isaiah 8

Cross References

Genesis 31:53Mungu wa Abrahamu na Mungu wa Nahori, Mungu wa baba zao, aamue kati yetu.” Hivyo Yakobo akaapa kwa jina la Hofu ya baba yake Isaki.

Leviticus 22:32Msilinajisi Jina langu takatifu. Lazima nikubalike kuwa mtakatifu kwa Waisraeli. Mimi ndimi Bwana ninayewafanya watakatifu,

Numbers 27:14kwa kuwa jumuiya ilipoasi amri yangu kwenye maji katika Jangwa la Sini, wakati jumuiya ilipogombana nami, nyote wawili mliacha kuitii amri yangu ya kuniheshimu kama mtakatifu mbele ya macho yao.” (Haya yalikuwa maji ya Meriba huko Kadeshi, katika Jangwa la Sini.)

Psalms 76:7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. 2 Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 1

Isaiah 29:23Wakati watakapoona watoto wao miongoni mwao, 2 kazi ya mikono yangu, 1 watalitakasa Jina langu takatifu; 2 wataukubali utakatifu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Yakobo, 2 nao watamcha Mungu wa Israeli. 1

Matthew 10:28Msiwaogope wale wauao mwili lakini hawawezi kuua roho. Afadhali mwogopeni yeye awezaye kuiangamiza roho na mwili katika jehanamu. + 10:28 Jehanamu kwa Kiyunani ni Gehena, maana yake ni Kuzimu, yaani motoni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 8:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 8:12Isaiah 8Isaiah 8:14 →