Isaiah 29:23
Wakati watakapoona watoto wao miongoni mwao, 2 kazi ya mikono yangu, 1 watalitakasa Jina langu takatifu; 2 wataukubali utakatifu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Yakobo, 2 nao watamcha Mungu wa Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Wale wanaopotoka rohoni watapata ufahamu, 2 nao wale wanaolalamika watayakubali mafundisho.”
Cross References
Isaiah 5:16Lakini Bwana Mwenye Nguvu Zote atatukuzwa 2 kwa ajili ya haki yake, 1 naye Mungu Mtakatifu atajionyesha mwenyewe 2 kuwa mtakatifu kwa haki yake. 1
Isaiah 19:25Bwana Mwenye Nguvu Zote atawabariki, akisema, “Baraka iwe kwa Misri watu wangu, kwa Ashuru kazi ya mikono yangu, na kwa Israeli urithi wangu.”
Isaiah 43:21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, 2 ili wapate kutangaza sifa zangu. 1
Isaiah 49:20Watoto waliozaliwa wakati wa msiba wako 2 bado watakuambia, 1 ‘Mahali hapa ni finyu sana kwetu, 2 tupe eneo kubwa zaidi la kuishi.’ 1
Hosea 3:5Baadaye Waisraeli watarudi na kumtafuta Bwana Mungu wao na Daudi mfalme wao. Watakuja wakitetemeka kwa Bwana na kwa baraka zake katika siku za mwisho.
Ephesians 2:10Kwa maana sisi ni kazi ya mikono ya Mungu, tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tupate kutenda matendo mema, ambayo Mungu alitangulia kuyaandaa tupate kuishi katika hayo. 1 Wamoja Katika Kristo