The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 10 › Isaya 10:8

Isaya 10:8

Maana asema, ‘Je, wafalme wote 2 si majemadari wangu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For he saith, Are not my princes altogether kings?

In Context

7Lakini hili silo analokusudia, 2 hili silo alilo nalo akilini; 1 kusudi lake ni kuangamiza, 2 kuyakomesha mataifa mengi. 1

9Je, Kalno hakutendwa kama Karkemishi? 2 Hamathi si kama Arpadi, 2 nayo Samaria si kama Dameski? 1

Read all of Isaya 10

Cross References

2 Kings 18:24Utawezaje kumzuia hata afisa mmoja aliye mdogo kati ya maafisa wa bwana wangu, ijapo unategemea Misri kwa magari ya vita na wapanda farasi?

Job 24:23Aweza akawaacha wakapumzika wakijihisi salama, 2 lakini macho yake yanaona njia zao. 1

Ezekiel 26:7“Kwa maana hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kutoka kaskazini nitamleta dhidi ya Tiro Mfalme Nebukadneza wa Babeli, mfalme wa wafalme, akiwa na farasi na magari ya vita, wapanda farasi na jeshi kubwa.

Daniel 2:37Ee mfalme, wewe ni mfalme wa wafalme. Mungu wa mbinguni amekupa wewe utawala, uweza, nguvu na utukufu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 10:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 10:7Isaya 10Isaya 10:9 →