James 1:14
Lakini kila mtu hujaribiwa wakati anapovutwa na kudanganywa na tamaa zake mwenyewe zilizo mbaya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But every man is tempted, when he is drawn away of his own lust, and enticed.
In Context
15Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba, huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa, huzaa mauti.
Cross References
Genesis 8:21Bwana akasikia harufu nzuri ya kupendeza, naye akasema moyoni mwake, “Kamwe sitailaani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, hata ingawa kila mwelekeo wa moyo wake ni mbaya tangu ujana. Kamwe sitaangamiza tena viumbe hai vyote kama nilivyofanya. 1
2 Samuel 11:2Ikawa siku moja wakati wa jioni Daudi aliinuka kitandani mwake na kutembeatembea juu ya paa la jumba lake la kifalme. Kutokea kule kwenye paa, akamwona mwanamke akioga. Mwanamke huyo alikuwa mzuri sana wa sura,
Job 31:9“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke, 2 au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu, 1
Proverbs 4:23Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, 2 maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. 1
Hosea 13:9“Ee Israeli, umeangamizwa, 2 kwa sababu wewe u kinyume nami, 2 kinyume na msaidizi wako. 1
Matthew 15:18Lakini kitokacho kinywani hutoka moyoni, na hiki ndicho kimtiacho mtu unajisi.