James 1:15
Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba, huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa, huzaa mauti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Lakini kila mtu hujaribiwa wakati anapovutwa na kudanganywa na tamaa zake mwenyewe zilizo mbaya.
16Ndugu zangu wapendwa, msidanganyike.
Cross References
Genesis 2:17lakini kamwe usile matunda ya mti wa kujua mema na mabaya, kwa maana siku utakapokula matunda yake, hakika utakufa.”
Genesis 3:17Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ 1 “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, 2 kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo 2 siku zote za maisha yako. 1
Job 15:35Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; 2 matumbo yao huumba udanganyifu.”
Psalms 9:17Waovu wataishia kuzimu, 2 naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu. 1
Micah 2:1Ole kwa wale wapangao uovu, 2 kwa wale wafanyao shauri la hila vitandani mwao! 1 Kunapopambazuka wanalitimiza 2 kwa sababu uko katika uwezo wao kutekeleza. 1
Matthew 26:48Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni.”