The Bible Software
bible.softwareJamesJames 1 › James 1:2

James 1:2

Ndugu zangu, hesabuni kuwa ni furaha tupu mnapopatwa na majaribu mbalimbali,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My brethren, count it all joy when ye fall into divers temptations;

In Context

1Yakobo, mtumwa wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo: Kwa makabila kumi na mawili yaliyotawanyika ulimwenguni: Salamu. 1 Imani Na Hekima

3kwa sababu mnajua ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.

Read all of James 1

Cross References

Matthew 5:10Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.

Acts 5:41Nao mitume wakatoka nje ya baraza, wakiwa wamejaa furaha kwa sababu wamehesabiwa kustahili kupata aibu kwa ajili ya jina la Yesu.

Romans 8:35Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je, ni shida au taabu au mateso au njaa au uchi au hatari au upanga?

Philippians 1:29Kwa maana mmepewa kwa ajili ya Kristo, si kumwamini tu, bali pia kuteswa kwa ajili yake,

Philippians 2:18Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami. 1 Paulo Amsifu Timotheo

Hebrews 10:34Mliwahurumia wale waliokuwa kifungoni, mkikubali kwa furaha kunyangʼanywa mali zenu kwa maana mlijua kwamba mnayo mali iliyo bora zaidi idumuyo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study James 1:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← James 1:1James 1James 1:3 →