James 1:20
Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the wrath of man worketh not the righteousness of God.
In Context
Cross References
Numbers 20:11Ndipo Mose akainua mkono wake na kuupiga mwamba mara mbili kwa fimbo yake. Maji yakabubujika, nayo jumuiya na mifugo yao wakanywa.
2 Timothy 2:24Tena haimpasi mtumishi wa Bwana kuwa mgomvi, bali inampasa awe mwema kwa kila mtu, awezaye kufundisha, tena mvumilivu.