James 1:19
Ndugu zangu wapendwa, fahamuni jambo hili: Kila mtu awe mwepesi wa kusikiliza, lakini asiwe mwepesi wa kusema wala wa kukasirika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore, my beloved brethren, let every man be swift to hear, slow to speak, slow to wrath:
In Context
20Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.
Cross References
Numbers 22:27Punda alipomwona malaika wa Bwana, alilala chini Balaamu angali amempanda, naye Balaamu akakasirika na kumpiga kwa fimbo yake.
Nehemiah 8:12Kisha watu wote wakaondoka kwenda kula na kunywa, na kupeana sehemu ya chakula, na wakaadhimisha kwa furaha kubwa, kwa sababu sasa walifahamu maneno yale waliyokuwa wameelezwa.
Nehemiah 9:3Wakasimama pale walipokuwa, wakasoma kutoka kwenye kile Kitabu cha Sheria ya Bwana Mungu wao kwa muda wa robo siku, na wakatumia robo nyingine kwa kuungama dhambi na kumwabudu Bwana Mungu wao.
Job 32:16Je, ningoje sasa kwa sababu wamekuwa kimya, 2 kwa vile sasa wanasimama bila kuwa na la kujibu? 1
Proverbs 10:19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1
Proverbs 14:17Mtu anayekasirika kwa haraka hufanya mambo ya upumbavu, 2 naye mtu wa hila huchukiwa. 1