James 2:15
Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If a brother or sister be naked, and destitute of daily food,
In Context
Cross References
Job 31:16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, 2 au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 1
Isaiah 58:10nanyi kama mkimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi zenu 2 na kutosheleza mahitaji ya walioonewa, 1 ndipo nuru yenu itakapongʼaa gizani, 2 nao usiku wenu utakuwa kama adhuhuri. 1
Matthew 25:35Kwa maana nilikuwa na njaa mkanipa chakula, nilikuwa na kiu mkaninywesha, nilikuwa mgeni mkanikaribisha,
Luke 3:11Yohana akawaambia, “Aliye na kanzu mbili amgawie asiye nayo, naye aliye na chakula na afanye vivyo hivyo.”
Hebrews 11:37Walipigwa kwa mawe; walipasuliwa vipande viwili kwa msumeno; waliuawa kwa upanga. Walizungukazunguka wakiwa wamevaa ngozi za kondoo na mbuzi, wakiwa maskini, wakiteswa na kutendwa mabaya,