James 2:16
mmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula,
17Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa.
Cross References
Job 22:7Hukumpa maji aliyechoka, 2 nawe ulimnyima chakula mwenye njaa, 1
Matthew 14:15Ilipofika jioni, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, na muda sasa umekwisha. Waage makutano ili waende zao vijijini wakajinunulie chakula.”
Matthew 25:42Kwa maana nilikuwa na njaa hamkunipa chakula, nilikuwa na kiu hamkuninywesha,
2 Corinthians 8:8Siwaamrishi, lakini nataka kujaribu unyofu wa upendo wenu kwa kuulinganisha na bidii ya wengine.