James 2:26
Kama vile ambavyo mwili pasipo roho umekufa, kadhalika nayo imani pasipo matendo imekufa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For as the body without the spirit is dead, so faith without works is dead also.
In Context
Cross References
Job 34:14Kama lilikuwa kusudi la Mungu, 2 naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake, 1
Psalms 146:4Roho yao itokapo hurudi mavumbini, 2 siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma. 1
Isaiah 2:22Acheni kumtumainia mwanadamu, 2 ambaye hana kitu ila pumzi katika pua zake. 1 Yeye ana thamani gani?
Acts 7:59Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, “Bwana Yesu, pokea roho yangu.”
James 2:17Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa.