James 2:9
Lakini kama mnakuwa na upendeleo kwa watu, mnatenda dhambi, na sheria inawahukumu kuwa ninyi ni wakosaji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if ye have respect to persons, ye commit sin, and are convinced of the law as transgressors.
In Context
Cross References
John 8:9Waliposikia haya, wakaanza kuondoka mmoja mmoja, wakianzia wazee, hadi Yesu akabaki peke yake na yule mwanamke akiwa amesimama mbele yake.
John 16:8Naye atakapokuja, atauthibitishia ulimwengu kuhusu dhambi, haki na hukumu.
Romans 7:7Tuseme nini basi? Kwamba sheria ni dhambi? La, hasha! Lakini, isingekuwa kwa sababu ya sheria, nisingalijua dhambi. Nisingalijua kutamani ni nini kama sheria haikusema, “Usitamani.”
Galatians 2:19Kwa maana mimi kwa njia ya sheria, nimeifia sheria ili nipate kuishi kwa ajili ya Mungu.
1 John 3:4Kila mtu atendaye dhambi afanya uasi, kwa kuwa dhambi ni uasi.