John 16:8
Naye atakapokuja, atauthibitishia ulimwengu kuhusu dhambi, haki na hukumu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he is come, he will reprove the world of sin, and of righteousness, and of judgment:
In Context
9Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi,
Cross References
Leviticus 13:12“Ikiwa ugonjwa utakuwa umeenea kwenye ngozi yake yote kwa kadiri kuhani atakavyoweza kuona, kwamba umeenea kwenye ngozi yote ya huyo mgonjwa kutoka kichwani mpaka wayo,
John 8:9Waliposikia haya, wakaanza kuondoka mmoja mmoja, wakianzia wazee, hadi Yesu akabaki peke yake na yule mwanamke akiwa amesimama mbele yake.
Acts 2:37Watu waliposikia maneno haya yakawachoma mioyo yao, wakawauliza Petro na wale mitume wengine, “Ndugu zetu tufanye nini?”
1 Corinthians 14:24Lakini kama mtu asiyeamini au asiyeelewa akiingia wakati kila mtu anatoa unabii, ataaminishwa na watu wote kuwa yeye ni mwenye dhambi na kuhukumiwa na wote,