James 3:1
Ndugu zangu, msiwe walimu wengi, kwa maana mnafahamu kwamba sisi tufundishao tutahukumiwa vikali zaidi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My brethren, be not many masters, knowing that we shall receive the greater condemnation.
In Context
Cross References
Leviticus 10:3Kisha Mose akamwambia Aroni, “Hili ndilo alilonena Bwana wakati aliposema: 1 “ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia 2 nitajionyesha kuwa mtakatifu; 1 machoni pa watu wote 2 nitaheshimiwa.’ ” Aroni akanyamaza.
Ezekiel 33:7“Mwanadamu, nimekufanya wewe kuwa mlinzi kwa ajili ya nyumba ya Israeli, kwa hiyo sikia neno nisemalo na uwape maonyo kutoka kwangu.
Matthew 7:1“Usihukumu ili usije ukahukumiwa.
Matthew 10:24“Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake, wala mtumishi hamzidi bwana wake.
Matthew 23:13“Lakini ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Kwa maana mnawafungia watu milango ya Ufalme wa Mbinguni. Ninyi wenyewe hamuingii humo, nao wale wanaotaka kuingia mnawazuia. [
Luke 6:37“Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa. Msilaumu, nanyi hamtalaumiwa. Sameheni, nanyi mtasamehewa.