Luke 6:37
“Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa. Msilaumu, nanyi hamtalaumiwa. Sameheni, nanyi mtasamehewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
36Kuweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma. 1 Kuwahukumu Wengine (Mathayo 7:1-5)
Cross References
Matthew 5:7Heri wenye huruma, 2 maana hao watapata rehema. 1
Matthew 7:1“Usihukumu ili usije ukahukumiwa.
Matthew 18:34Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe mpaka atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa.
Luke 17:3Kwa hiyo, jilindeni. “Kama ndugu yako akikukosea mwonye, naye akitubu, msamehe.
Romans 14:3Yeye alaye kila kitu asimdharau yeye asiyekula. Wala yeye asiyekula kila kitu asimhukumu yule alaye kila kitu, kwa maana Mungu amemkubali.
1 Corinthians 4:3Lakini kwangu mimi ni jambo dogo sana kwamba nihukumiwe na ninyi au na mahakama yoyote ya kibinadamu. Naam, hata mimi mwenyewe sijihukumu.