James 3:13
Ni nani aliye na hekima na ufahamu miongoni mwenu? Basi na aionyeshe hiyo kwa maisha yake mema na kwa matendo yake yaliyotendwa kwa unyenyekevu utokanao na hekima.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 12:3(Basi Mose alikuwa mtu mnyenyekevu sana, mnyenyekevu kuliko mtu mwingine yeyote katika uso wa dunia.)
Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”
Psalms 45:4Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi, 2 kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki, 2 mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha. 1
Psalms 122:8Kwa ajili ya ndugu zangu na marafiki, 2 nitasema, “Amani iwe ndani yako.” 1
Ecclesiastes 8:1Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima? 1 Ni nani ajuaye maelezo ya mambo? 2 Hekima hungʼarisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake. 1 Mtii Mfalme
Isaiah 11:3naye atafurahia kumcha Bwana. 1 Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake, 2 wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake, 1