James 3:14
Lakini ikiwa mna wivu na ni wenye chuki na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu kwa ajili ya hayo wala msiikatae kweli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if ye have bitter envying and strife in your hearts, glory not, and lie not against the truth.
In Context
15Hekima ya namna hiyo haishuki kutoka mbinguni, bali ni ya kidunia, isiyo ya kiroho, na ya kishetani.
Cross References
Genesis 37:11Ndugu zake wakamwonea wivu, lakini baba yake akaliweka jambo hilo moyoni. 1 Yosefu Auzwa Na Ndugu Zake
2 Kings 10:16Yehu akasema, “Twende pamoja ukaone wivu wangu kwa ajili ya Bwana.” Hivyo wakasafiri pamoja kwenye gari lake.
Job 5:2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, 2 nao wivu humchinja mjinga. 1
Proverbs 27:4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, 2 lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 1
Habakkuk 1:3Kwa nini unanifanya nitazame dhuluma? 2 Kwa nini unavumilia makosa? 1 Uharibifu na udhalimu viko mbele yangu; 2 kuna mabishano na mapambano kwa wingi. 1
John 16:2Watawatenga na masinagogi. Naam, saa yaja ambayo mtu yeyote atakayewaua atadhani kwa kufanya hivyo anamtumikia Mungu.