James 3:17
Lakini hekima itokayo mbinguni kwanza ni safi, kisha inapenda amani, tena ni ya upole, iliyo tayari kusikiliza wengine kwa unyenyekevu, iliyojaa huruma na matunda mema, isiyopendelea mtu, tena isiyokuwa na unafiki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Kwa maana panapokuwa na wivu na ubinafsi, ndipo penye machafuko na uovu wa kila namna.
18Mavuno ya haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.
Cross References
Exodus 36:2Ndipo Mose akawaita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu mwenye ustadi ambaye Bwana alikuwa amempa uwezo na mwenye kupenda kuja na kufanya kazi.
1 Kings 3:12nitafanya lile uliloomba. Nitakupa moyo wa hekima na wa ufahamu, kiasi kwamba hajakuwepo mtu mwingine kama wewe, wala kamwe hatakuwepo baada yako.
1 Chronicles 22:9Lakini utakuwa na mwana ambaye atakuwa mtu wa amani na utulivu nami nitampa utulivu mbele ya adui zake wote pande zote. Jina lake ataitwa Solomoni, nami nitawapa Israeli amani na utulivu wakati wa utawala wake.
Job 28:12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? 2 Ufahamu unakaa wapi? 1
Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”
Isaiah 2:4Atahukumu kati ya mataifa 2 na ataamua migogoro ya mataifa mengi. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1