James 3:18
Mavuno ya haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the fruit of righteousness is sown in peace of them that make peace.
In Context
Cross References
Proverbs 11:28Yeyote ategemeaye utajiri wake ataanguka, 2 bali mwenye haki atastawi kama jani bichi. 1
Isaiah 32:16Haki itakaa katika jangwa, 2 na uadilifu utakaa katika shamba lenye rutuba. 1
Amos 6:12Je, farasi waweza kukimbia kwenye miamba mikali? 2 Je, aweza mtu kulima huko kwa maksai? 1 Lakini mmegeuza haki kuwa sumu 2 na matunda ya uadilifu kuwa uchungu: 1
John 4:36Mvunaji tayari anapokea mshahara wake, naye anakusanya mazao kwa ajili ya uzima wa milele. Ili yeye apandaye na yeye avunaye wafurahi pamoja.
Philippians 1:11mkiwa mmejawa na matunda ya haki yapatikanayo kwa njia ya Yesu Kristo, kwa utukufu na sifa za Mungu. 1 Kufungwa Kwa Paulo Kwaieneza Injili
James 1:20Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.