James 4:14
Lakini hamjui hata litakalotukia kesho. Maisha yenu ni nini? Ninyi ni ukungu ambao huonekana kwa kitambo kidogo kisha hutoweka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Badala yake, inawapasa kusema, “Kama Bwana akipenda, tutaishi na kufanya hili ama lile.”
Cross References
Job 7:6“Siku zangu zinapita upesi kuliko mtande wa kufuma, 2 nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini. 1
Job 14:1“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke 2 siku zake ni chache nazo zimejaa taabu. 1
Psalms 89:47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. 2 Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 1
Psalms 102:3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, 2 mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 1
James 1:10Lakini yeye aliye tajiri afurahi kwa kuwa ameshushwa, kwa sababu atatoweka kama ua la shambani.
1 Peter 4:7Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.